Idadi ya michepuo Tarime TCC

Idadi ya michepuo Tarime TCC

Chuo chetu kina jumla ya wanachuo 550 wavulana 314 na wasi-chana 236 katika michepuo saba (7) amabyo ni
1-shahada Ualimu Elimu ya Msingi
2. Astashahada ya UalimuElimu Msingi
3. Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali
4. Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari
5. Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari kwa Michezo
6. Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari Sanaa za Maonesho
7 .Stashahada ya Ualimu Elimu ya Awali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *