Neno Kutoka kwa mkuu

Chuo cha Ualimu Tarime kipo wilaya ya Tarime Mkoani Mara, kilianzishwa tarehe 20/05/1974, chini ya uongozi wa Mkuu wa Chuo Dr. C. C. Magoti. Chuo kilikuwa kikitoa mafunzo ya ualimu yakiwemo Daraja la IIIA (GATCE). Kwa sasa, hutoa Mafunzo ya Ualimu ngazi ya Stashahada ya Elimu ya Awali na Msingi (NTA4-6)baada ya kusajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) tarehe 10 Feb 2015 kwa nambaREG/TLF/045 ili kuandaa walimu wa kufundisha Shule za Elimu ya Awali na Msingi.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *